Saturday, December 31, 2016

Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com: Vocal Drills Volume 4

Volume 4 ndio toleo la mwisho katika awamu hii mpya ya Jifunze Kuimba na Joett Mkito. Fuata maelekezo. Panapokupa taabu, tafadhali niulize nikupe muongozo. Download Vol. 4 hapa!

Ukishaweza hili zoezi la takriban dakika 10, sasa utakua unamazoezi ya sauti Vol. 1, 2, 3 & 4 katika ratiba yako ya kujifunza kuimba. Kwahivyo, kilamara unapo kaa kufanya mazoezi yote haya kwa pamoja, unapaswa kufanya zoezi la pumzi kabla ya Vol. 1 alafu kuendelea na mazoezi ya Vol. 2, 3 & 4 bila ya kusimama. Jumla ya muda wa mazoezi ukiunganisha hizi Volume zote 4 ni dakika 30.

Kumbuka, madhumuni ya haya mazoezi ni ku re-balance sauti yako, au kurekebisha matumizi ya sauti yako ili uweze kuimba kwa urahisi kwenda juu na kwenda chini; na mpangilio na ratiba hii ndio itaweza kukupa wewe huo uwezo kwa njia ya haraka na salama zaidi. Tafadhali usianze kukurupuka na ku-download vitu olela kwenye internet. Tafadhali fuata maelekezo yangu na mazoezi niliokuandalia ili uweze kupata mafanikio ya uhakika.

Nilicho kifanya hapa nikujaribu kuwezesha watanzania wote popote walipo, kupata mafunzo stahiki ya sauti bila ya gharama ya kuhudhuria mafunzo ya sauti darasani pamoja na mimi. Maelekezo na mazoezi haya ni nyeti kwa kukuwezesha kufikia malengo yako. Sikiliza. Tenda. Utapata faida kubwa sana kwenye swala la kuimba. Amini hilo!

RATIBA YA TOLEO Vol. 4, 5, 6 & 7

Joett Vocal Drills Vol. 4 OUT 3.01.2017
Joett Color Me Beautiful Drills Vol. 5 OUT  17.01.2017
Joett Color Me Beautiful Drills Vol. 6 OUT  31.01.2017
Joett Color Me Beautiful w/B Track Vol. 7 OUT 14.02.2017
Joett - Color Me Beautiful (Acoustic Pop)  OUT 28.02.2017

Muongozo wa Mazoezi

Download Mazoezi Mkito.com
Weka kwenye CD au Flash Disk
Tumia chombo cha muziki cha kupigia CD/Flash au kama unatumia simu yako ya mkononi, hakikisha unaunganisha na speaker kupata sauti kubwa kulingana na sauti yako ukiimba.
Fanya mazoezi ndani ya chumba na sio kwenye maeneo ya wazi, wala sio kwa kutumia simu yako ya mkononi na headset zake masikioni.

Na vile vile unaweza kupata maelekezo zaidi kwa kubofya nakala kadhaa nilizo andika hapa chini. Ukiwa na maswali, tafadhali jisikie huru kuniuliza. Ni muhimu sana kuelewa, na sio kufanya vitu kwa hisia bila muongozo panapo stahili. Tafuta ushauri!

Jifunze Kuimba: Umuhimu wa Kuelewa Madhumuni Ya Mazoezi
Jifunze Kuimba: Tatizo La Pumzi na Jinsi Ya Kulitatua
Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com Vol. 1: Madhumuni ya Lip Rolls
Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com: Vocal Drills Volume 2
Volume 1, 2 & 3 Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com


Wewe ndie chombo halisi, jifunze kuimba kama pro! Nawatakia mafanikio mema!


JOETT
Vocal Coach
YouTube Channel
Madarasa ya Studio


Friday, December 30, 2016

Applying Vocal Training to Song Is What to Expect in Vol. 5, 6 & 7

Perhaps the most challenging part in voice training is to actually apply the technique you develop in training, to performing in a song!  

It may sound unfathomable of sorts, but I have experienced this on far too many occasions with many of my pupils to know that when it comes to singing, applying your training to songs doesn’t always come automatically.

In some cases I would still have to show you how to use your own voice in a song. But there is some light at the end of this tunnel, which I’ll want to share with you in this article.

In my all new vocal training product currently downloadable on Mkito.com, Volume 5, 6 & 7 (coming soon) are all about applying your voice to segments of my acoustically reworked song Color Me Beautiful in Volumes 5 & 6; and ultimately the entire song with full backing guitar track in Vol. 7.

Bizarrely, the idea to do this came about when I was rehearsing the acoustic version for Color Me Beautiful in preparation for a studio recording session. And so my guitarist and I went over the riffs I was planning on recording for training purposes, and when we hit the studio, after we’d completed recording the song, we began to record and piece together the training modules for Vol. 5 & 6. (Volume 7 is simply the full vocal track plus the backing track running back to back).

So, that’s pretty much how I developed the product you are about to enjoy and draw inspiration and direction from. This article gives you a bit of insight, as it were, which I hope will keep you motivated and have you looking forward to a pretty exciting learning curve coming your way really soon.

If you haven't as yet downloaded Joett Vocal Drills Vol. 1 to 4... Click Here!

SUBSCRIBE to My YouTube Channel TODAY... Click Here!

You are the instrument, learn to sing like a pro!


JOETT

Vocal Coach & Author "Letters from a Vocal Coach"
Private Singing Lessons
Download Joett Vocal Drills 

Wednesday, December 28, 2016

4 Easy Vocal Training Volumes to Download from Mkito.com for Quick and Effective Vocal Rebalancing & Conditioning Exercises

After piloting on WhatsApp and publishing helpful articles on my blog; and sharing audio training exercises uploaded to my Hulkshare page for about a year or so, I was able to gauge the amount of interest that this e-Learning concept was generating not only in Tanzania but also across Africa.

And so I made a decision to get in on it with everything I’ve got, by creating a high quality product in Kiswahili that can be downloaded from high-traffic music platform Mkito.com. Note: to view Mkito in English, please select English located Top Right on site. 

In this article I shall talk you through Volumes 1, 2, 3 & 4… the preparatory phase of this e-Learning vocal training product.

I have created brand new training programs, tailored specifically to learning online, by the way in which I’ve set-up the scales to rebalance and address vocal issues across the board. We’ve been rolling out one volume every fortnight, so to speak, in order to ease people into the program in a more step-by-step fashion. So basically, this training program kicks off with the Breathing Exercise; and onto Volume 1, 2, 3 and ultimately Volume 4 is to be released in the New Year. The purpose of these 4 programs, which run from between 5 and 10 minutes each, is to rebalance and to condition your voice with the lip rolls, tongue trills and some consonant and vowel combinations in straight nonstop sets.

The simplicity of it is what really makes this course unprecedented, in that every vocal workout I have created rebalances your lower register before taking you up. There’s something quite ingenious about this training method, in that it eases you into the correct speech level posture and then helps you maintain that into your higher register. You’ll soon realize the benefits when you get on the program. Click here to get started!

If you aspire for success with vocal training, you’ll want to have a regular training schedule of at least 3 sessions per week. And it isn’t a tall order at all. Why? Because when you run the 4 volumes through (including the breathing), you’ll clock around 30 minutes of training. Anybody, no-matter how lazy or despondent they are, can manage that.

Now, here’s what to expect in Vol. 5, 6 & 7 

To help you apply your training to actually singing those beautiful songs, you’ll be given segments of the brand new acoustic version of my 2012 70s disco single Color Me Beautiful, and you will learn to sing it to my acoustic guitar backing tracks segment by segment; and eventually—in Vol. 7, you’ll have the entire song and acoustic backing track to sing to.

Download with Swahili instruction: Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com Vol. 1, 2, 3 & 4.

NOTE: My instruction voice overs run for just a couple of minutes in Kiswahili, however, the exercises are universal. That being said, for those of you that don't speak the language, what I say on tape is simply to introduce the training volume and to give a demonstration on how to do the lip rolls and tongue trills (easy to figure out). I also advise you to train at least 3 times a week, beginning with the breathing and onto the scales volume by volume in that particular order. The rest of the tapes contain the exercises. Listen to the examples and run with it!

SUBSCRIBE to My YouTube Channel TODAY... Click Here!

You are the instrument, learn to sing like a pro!


JOETT

Vocal Coach & Author "Letters from a Vocal Coach"
Private Singing Lessons
Download Joett Vocal Drills 

Tuesday, December 20, 2016

Volume 1, 2 & 3 Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com

Je, ungependa kujifunza kuimba  kwa dhati? Basi suluhu ni kufanya mazoezi ya sauti kama nilivyowaandalia na kuwapandishia Mkito.com. Hadi sasa Volume 1, 2 & 3 zimepanda Mkito. Bado kuna Vol.  4, 5, 6 & 7 zinakuja.

Mii / Mia / Nay kwenye Volume 2 ni mwanzo wa kuanza kuunganisha irabu katika mazoezi yako ya sauti. Ukishakua mzoefu katika hilo, unaweza kufanya irabu moja moja na scale hizo hizo kwa kufanya AAA pekeyake, au EEEE pekeyake, IIII pekeyake, UUUU pekeyake, OOO pekeyake. Ukiona sauti inaingia kooni, wacha papo hapo. Jua unakosea. Endelea na lip rolls, tongue trills, MII, MIA na NAY mpaka sauti yako ikae sawa.

Lakini jua kwamba kila toleo ni muendelezo wa toleo liliopita. Utaratibu wa mazoezi mpaka toleo hili la 3 upo kama ifuatavo:

1. Pumzi
2. Volume 1
3. Volume 2
4. Volume 3

Na sasa nikupe muongozo wa Jifunze Kuimba na Joett Vocal Drills Volume 3

Mazoezi ya Vocal Drills Volume 3 ni muendelezo wa Vol. 2. Kwa mara nyingine tena, fuata maelekezo. Kama unayo maswali ama kuna kitu kinakushinda, tafadhali uliza. Nitaweza kukupa ushauri. Lakini cha msingi nikufuata maelekezo na kufanya mazoezi stahiki kama nilivowaandalia hapa. Download Volume 3 hapa!

Ukishaweza haya mazoezi ambayo muda wake ni takriban dakika 5, unatakiwa kuunganisha Pumzi, Vol. 1, 2 & 3 katika ratiba yako ya mazoezi ya sauti ya kila siku.

Na vile vile unaweza kupata maelekezo zaidi kwa kubofya nakala kadhaa nilizo andika hapa chini. Ukiwa na maswali, tafadhali jisikie huru kuniuliza. Ni muhimu sana kuelewa, na sio kufanya vitu kwa hisia bila muongozo panapo stahili. Tafuta ushauri!

Jifunze Kuimba: Umuhimu wa Kuelewa Madhumuni Ya Mazoezi
Jifunze Kuimba: Tatizo La Pumzi na Jinsi Ya Kulitatua
Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com Vol. 1: Madhumuni ya Lip Rolls
Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com: Vocal Drills Volume 2

Wewe ndie chombo halisi, jifunze kuimba kama pro!


JOETT
Vocal Coach
YouTube Channel
FaceBook Videos

Monday, December 19, 2016

Joett - Color Me Beautiful (Lyrics)

You make the world a better place
Your love is divine, straight down the line
Take me away from what I know
Onto a better place
There in your arms
Your love is divine, straight down the line

Cos you know that I’m addicted to love
Cos you know that I’m addicted to love
So color me beautiful
Color me blind

The color of love
Is roses and wine
And yours in particular, is so divine
I know your love will never end
It’s gonna be there till the end
You make the world a better place
Your love is divine, straight down the line

Cos you know that I’m addicted to love
Cos you know that I’m addicted to love
So color me beautiful
Color me blind

Cos you know that I’m addicted to love
[Just like the earth needs the rain]
Cos you know that I’m addicted to love
[I’ll never stop needing you]
So color me beautiful
[Yes you’re invisible, One of a kind]
Color me blind
[But sure I can feel your tender touch]


Saturday, December 17, 2016

Justin Bieber: A Sneaky Peaky into the Light, Smoky and Warm Tone

In a recent chat with one of my pupils who ALWAYS selects Justin Bieber songs to sing, I asked… are you a Belieber? And she rather emphatically said… NO! Well, this article is not specifically for the Bilieber but it does make an interesting read overall. And so without further ado, let’s take a closer look at the Bieber vocal that continues to mesmerize the world.

His range is said to be A2 - C#5 - F5, and his vocal type is Light-Lyric Tenor (2 octaves, 4 notes and a semitone). Oh, and his vocal rating, according to critics of music, is a C-List.

Justin Bieber’s positive attributes are a light, smoky and warm tone throughout each register. His voice has been described as agile and capable of melismas and seamless transitions from chest voice to falsetto, which makes him intrinsically a very confident vocalist.

Bieber also tends to use his lower register sparingly, choosing to opt for softer passages as opposed to ones that require more projection. However, he has shown the capacity to project down to B2. And as he ascends, his voice tends to gain a much lighter and warmer texture, whilst still maintaining that same ole smoky texture evident in his lower register. He exhibits significant ease in the tenor tessitura, showing almost no effort at all on notes up to F4. And refreshingly, his light head voice mix brings up his chest voice to B4 in the song Love Yourself.

Notably, his light and sweet falsetto has been gaining endurance over time, as his head voice takes on a rather light and slightly feminine edge.

According to some critics of music, Justin Bieber’s negative vocal picture is described as—overall, having lack of power and resonance, becoming nasally and whiny above E4. They also suggest the lower register is breathy, and that upper belts are also forced in some instances as well. And here’s something else. His melismas and runs they say lack musicality, often breaking from what is reasonable for the music, and that his intonation is inconsistent in live settings, citing that his G#2 is way too forced and the Bb5 is not him. Phew! Quite a lot said there already, don’t you think? Now here are a couple of recommended Justin Bieber tracks to listen to: As Long As You Love Me, Love Yourself.

JOETT -- Author: "Letters from a Vocal Coach"


Monday, December 12, 2016

Beyoncé: A Quick Glimpse into Her Astounding Vocal Range

Described as a vocal acrobat for being able to sing in key, long and complex melismas and vocal runs effortlessly, BeyoncĂ©’s range is F#2 - G#5 - F6 (D7), and her vocal type is Coloratura Mezzo-Soprano (4 Octaves).

She delivers excellent trills that are achieved with no breaks. Her breath control allows her to dance while singing without sounding tired. Her grunts and growls are achieved without damaging technique. Beyoncé is no doubt, a great staccato singer.

She can hold notes of up to 14 seconds for extended periods with or without vibrato, and without wavering in pitch. The vibrato is well controlled, and gives the 3rd lung illusion. Her dynamic control is excellent and her crescendos are perfect. They don't get loud too fast or too slow.

Beyoncé is also able to flip through each register effortlessly, and maintains agility to every note. Her lower notes are slightly smokey, and extend well into the 2nd octave. Her belts are well supported, mixable, and maintain a bright and powerful ring up to Eb5. The head voice is thick and operatic.

And now looking at the negatives—according to some critics of music, BeyoncĂ©’s upper belts can be perceived as shouting, and can also sound shrill without vibrato in early years. The voice loses some clarity in lower notes in live settings, while BeyoncĂ© has become reliant on growling her upper belts recently. Her lack of unique tone leads some to brand her as "boring," though this characteristic is subjective. Recommended Listening: I Care, Halo, Dangerously in Love.

I hope you enjoyed this interesting piece on BeyoncĂ©’s ASTOUNDING  vocal range.


JOETT -- Author: "Letters from a Vocal Coach"

Any Texts

Saturday, December 10, 2016

70s Disco "Color Me Beautiful" by Joett Goes Acoustic Ambient

First released in 2012, my 70s disco track Color Me Beautiful caught the attention of A&R at Sony BMG, Universal, Capitol Records, Columbia and Jive in the USA; for album placement consideration with artists on their labels at the time.

In recent weeks, however, that same song has undergone somewhat of a metamorphosis with a complete reworking to an ambient acoustic setting, with myself on vocal and the exceptionally talented Elisha Sukari on acoustic guitar.

This acoustic track was recorded, mixed and mastered by Sarthak Tale at Wanene Studios, a brand new state-of-the-art recording outfit in Dar es salaam.

I'd like to take this opportunity to thank my guitarist Elisha and sound engineer Sarthak, as well as the management at Wanene for their warmth and kindness, and for an excellent job done. They've put everything they've got into this project, and for that I shall be eternally grateful for their incredible team work on the reinvention of perhaps one of the best songs I've ever written, Color Me Beautiful.

Please have a listen... and then kindly share on your social media.

With thanks,

JOETT


Tuesday, December 6, 2016

Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com: Vocal Drills Volume 2


Volume 2 ni muendelezo wa Vol. 1. Kwa maana ni lazima ufanye Vol. 1 kabla haujafanya Vol. 2. Kwa mara nyingine tena, nita sistiza mfuate maelekezo kama yalivo kwenye toleo hili. 

Mazoezi haya yana dakika 7. Ukishaweza kufanya haya mazoezi, sasa utakua na mazoezi mawili. Yaani Vol. 1 & 2 katika ratiba yako ya mazoezi ya sauti ya kila siku; na utatakiwa kufanya yote kwa pamoja kufuata mlolongo huo huo wa Vol. 1 kuingia Vol. 2.

Kumbuka, madhumuni ya haya mazoezi ni ku re-balance sauti yako, au kurekebisha matumizi ya sauti yako ili uweze kuimba kwa urahisi kwenda juu na kwenda chini; na mpangilio na ratiba hii ndio itaweza kukupa wewe huo uwezo kwa njia ya haraka na salama zaidi. Tafadhali usianze kukurupuka na ku-download vitu olela kwenye internet. Tafadhali fuata maelekezo yangu na mazoezi niliokuandalia ili uweze kupata mafanikio ya uhakika. Download Volume 2 hapa!

Na vile vile unaweza kupata maelekezo zaidi kwa kubofya nakala kadhaa nilizo andika hapa chini. Ukiwa na maswali, tafadhali jisikie huru kuniuliza. Ni muhimu sana kuelewa, na sio kufanya vitu kwa hisia bila muongozo panapo stahili. Tafuta ushauri!

Jifunze Kuimba: Umuhimu wa Kuelewa Madhumuni Ya Mazoezi
Jifunze Kuimba: Tatizo La Pumzi na Jinsi Ya Kulitatua
Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com Vol. 1: Madhumuni ya Lip Rolls

Wewe ndie chombo halisi, jifunze kuimba kama pro!


JOETT
Vocal Coach
YouTube Channel

Friday, December 2, 2016

Jifunze Kuimba na Joett Darasani na Online: Muongozo na Utaratibu

Kwanza kabisa, mimi ninafundisha siku 4 tu kwa wiki… Jumatatu, Jumanne, Jumatano na Jumamosi. Na pia ninafundisha mtu mmoja mmoja tu kila lisaa kwa kufuata ratiba iliopangwa maalum.

Program Zangu za Mafunzo ya Sauti  ndani ya studio yangu katika mfumo wa Speech Level Singing Comprehensive Courses zipo kama ifuatavyo: Level 1, Level 2, Level 3, Level 4... na kila programu ni ya masaa 10. (Yaani, kila utakapokuja darasani utafanya mazoezi kwa lisaa limoja tu).

Programu zifuatazo ni za vipindi vifupi, tafadhali soma ufafanuzi na maelekezo kama iyafuatayo.



Quick Start Program


Program ya Quick Start ni ya maandalizi, kukuwezesha wewe kujiendeleza na mazoezi ya sauti mwenyewe nyumbani. Program hii ni ya masaa 3 tu kiujumla.

Program hii inaweza kukusaidia, kwa mfano, kama ume download Joett Vocal Drills kutoka Mkito.com na ungependa nikuweke sawa, madarasa haya matatu ya lisaa lisaa ndani ya studio yangu, yatakuwezesha kuinua kiwango chako cha uimbaji na kujiendeleza nyumbani kwa kutumia prerecorded program zangu..

Vocals Quick Fix Africa

Kwa wale ambao wanajiandaa kwenda kurekodi studio au wanajiandaa kwenda kupiga show, na vile vile kwa wale ambao wanataka tu kuweka sauti sawa kwa haraka Vocals Quick Fix Africa ndio jawabu halisi. Kipindi cha mazoezi ni masaa manne kwa lisaa limoja kwa siku. Kama unaenda kurekodi studio, ni vema ile siku ya kurekodi, basi zoezi lako la nne liwe siku hiyo unayoelekea studio. 




1 Hour Vocal Training Session 


Darasa la lisaa limoja tu kwa wale ambao wameshapitia msingi mzuri katika madarasa yangu ya ana kwa ana; na vile vile kwa wale wanaojifunza kupitia programu zangu za Jifunze Kuimba Na Joett Vocal Drills zinazopatikana Mkito.com.

Darasa hilo limoja limoja linaweza kua kama nyongeza au "brush-up" ya mara kwa mara katika kujifunza kwako kuimba.

TATHMINI YA SAUTI YAKO

Kabla haujaanza mafunzo ya ana kwa ana, nakukaribisha uje studio kwa dakika 30 tu niskie sauti yako, na vile vile nikupitishe kwenye mazoezi kadhaa kwenye kinanda ili niijue sauti yako na changamoto zako za kurekebisha. 

Huduma hii inatolewa kwa wale wenye nia ya kuchukua program yangu ya muda mrefu. Yaani ile ya masaa 10.

Hua nafanya assessments—yaani tathmini ya sauti, kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga na madarasa yangu ya masaa 10—Jumatatu hadi Jumamosi kwa nusu saa bila gharama yeyote--ni bure, lakini kwa mihadi maalum ya muda wa assessment. Ili kupata nafasi ya assessment, tafadhali wasiliana na mimi kwa njia ya simu au kupitia WhatsApp.

DOWNLOAD TRAINING MKITO.COM

Jifunze kwa urahisi na kwa gharama nafuu ya Shs 250 tu (kwa mp3 download moja), kwa ku-download program zangu nilizoandaa na kupandisha Mkito.com kwa ajili yako.

Kupitia mfumo huu, nimeboresha mazoezi maalum ya sauti kwa kufuata mahitaji muhimu katika kujifunza kuimba kupitia mtandao. Ili kuingia katika mstari stahiki wa mafunzo ambao bila shaka, utakuletea mafanikio ya haraka, ni vyema kuanza safari yako ya kujifunza kuimba hapa.

MELEKEZO KAMILI

Kupata maelekezo kamili ya matumizi ya hizi prerecorded program zangu tafadhali soma makala yangu "Msaada wa Mafunzo ya Sauti na JOETT WhatsApp na Telegram."


Hii video imetengenzwa na Mkito na inatoa maelekezo jinsi ya 
ku-download mp3 kutoka Mkito kwa ku login na akaunti yako ya Google. 

Na vile vile unaweza kupata maelekezo zaidi kwa kubofya makala kadhaa nilizo andika hapa chini. Ukiwa na maswali, tafadhali jisikie huru kuniuliza. Ni muhimu sana kuelewa, na sio kufanya vitu kwa hisia bila muongozo panapo stahili. Tafuta ushauri!

Makala Muhimu Kusoma 

Msaada wa Mafunzo ya Sauti na JOETT WhatsApp na Telegram
Soma Nakala Nyeti za Mazoezi na Maelekezo ya Uimbaji Bora
Jifunze Kuimba: Umuhimu wa Kuelewa Madhumuni Ya Mazoezi

Wewe ndie chombo halisi, jifunze kuimba kama pro!


JOETT
Vocal Coach