Itakusaidia endapo utakwama kwa lolote.
Kwanza kabisa, soma Jifunze Kuimba: Umuhimu wa Kuelewa Madhumuni Ya Mazoezi na vile vile Jifunze Kuimba: Tatizo La Pumzi na Jinsi Ya Kulitatua, itakupa ufafanuzi zaidi kuhusu umuhimu wa zoezi hili la pumzi katika uimbaji. Hauna haja ya kuishiwa na pumzi tena.
Nakala yangu Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com Vol. 1: Madhumuni ya Lip Rolls inakupa ufafanuzi wa kina kuhusu umuhimu wa zoezi la lip rolls katika mafunzo ya kuimba.
Joett Vocal Drills Vol. 1 - 7. Kama bado hauja pakua, basi bofya hapa!
Kupata LYRICS kwa ajili ya Vol. 5, 6 & 7 bofya hapa!
Ukishafanya hivyo, hakikisha unasoma maelekezo Volume 1, 2 & 3 Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com ili upate muongozo zaidi. Alafu mwisho kabisa, soma nakala yangu isemayo: Je, Binadamu Anaimbia Tumboni? Jua Ule Ukweli Wenyewe Halisi.
Je, Nini Kifanyike Kutunza Sauti Yako?
Sauti inataka matunzo. Na jinsi rahisi sana kuhifadhi sauti yako ili ifanye kazi vizuri na idumu kwa muda mrefu ni kama ifuatavyo.
Virutubisho Vya Kutumia
Hizi mbili za mwisho zina gharama kidogo, kwahivyo angalia tu uwezo wako. Zinapatikana kwangu studio kama utahitaji kununua.
MAZOEZI YA SAUTI
Ku-download mazoezi yangu yote moja kwa moja kutoka Mkito, bofya hapa!
FACEBOOK
Like Facebook Fan Page yangu hapa!

- Mazoezi ya sauti mara kwa mara kama nilivoelekeza humu.
- Usinywe vinywaji baridi sana au barafu.
- Usivute sigara.
- Usivute bangi.
- Usitumie madawa ya kulevya.
- Chunga sana kwenye swala la pombe, aidha usitumie kabisa au tumia kidogo sana.
- Usiwe na tabia ya kukohowa kwa kasi ili kuondoa kitu kooni. Nadhani mnanielewa. Hii tabia hukwangua koo.
Virutubisho Vya Kutumia
- Vitamin C 1000mg wakati unahisi mafua au sauti imechoka. Yeyusha tembe moja kila siku ndani ya glasi ya maji unywe. Zinapatikana pharmacy.
- Kunywa maji mara kwa mara, yanasaidia kulainisha koo. Mwili wa binaadamu asilimia kubwa ni maji.
- Tumia Multivitamins.
- Tumia Antioxidants.
Hizi mbili za mwisho zina gharama kidogo, kwahivyo angalia tu uwezo wako. Zinapatikana kwangu studio kama utahitaji kununua.
MAZOEZI YA SAUTI
Ku-download mazoezi yangu yote moja kwa moja kutoka Mkito, bofya hapa!
Like Facebook Fan Page yangu hapa!
NAWAKUMBUSHA, vocal drills download zote sasa ni kupitia Internet Archive.
JOETT - Mwalimu wa Sauti
Wewe ndie chombo halisi, jifunze kuimba kama pro!
No comments:
Post a Comment