Sunday, December 1, 2019

Unahitaji Mazoezi ya Sauti? Download Joett Vocal Drills Vol. 1-7!


Kama ungependa ku-download mazoezi yangu ya sauti (Joett Vocal Drills Vol 1-7) na imekushinda kupitia Mkito, basi kupitia blog langu la Tumblr unaweza ku-stream Zoezi la Pumzi na Joett Vocal Drills Vol. 1, Joett Vocal Drills Vol. 2, Joett Vocal Drills Vol. 3, Joett Vocal Drills Vol. 4.
  1. Kwa maelekezo zaidi kuhusu mazoezi ya sauti bofya hapa!
  2. Kwa ratiba ya mazoezi bofya hapa!
  3. Kwa mazoezi ya ziada bofya hapa!
  4. Uimbaji Bora: Maswali na Majibu bofya hapa!
  5. Kujiunga na Group la WhatsApp bofya hapa!
  6. Kwa madarasa ya ana kwa ana bofya hapa!
  7. Kwa maelekezo ya ku-login Mkito na akaunti yako ya Google angalia video hapa chini!

Huduma ya Ziada (Bure)

Ukihitaji kuhakiki kama unayafanya mazoezi kifasaha, jirekodi ukifanya haya mazoezi alafu tuma mazoezi yako kwangu kwa njia ya WhatsApp. Mifano ya mazoezi haya utayakuta kwenye Facebook page yangu hapa!

Video zifuatazo ni safari ya Japhy Ross katika kujifunza kuimba na JOETT


Uimbaji wa Japhy Ross kabla ya Mazoezi ya Sauti 


Uimbaji wa Japhy Ross Baada ya Masaa 10 ya Mazoezi Uimbaji wa Japhy Ross baada ya Miezi 10 ya Mazoezi 


Makala Zifuatazo ni Muhimu Kusoma (bofya links)

Msaada wa Mafunzo ya Sauti na JOETT WhatsApp na Telegram
Je, Binadamu Anaimbia Tumboni? Jua Ule Ukweli Wenyewe Halisi
Jifunze Kuimba na Joett Darasani na Online: Muongozo na Utaratibu
Jifunze Kuimba: Umuhimu wa Kuelewa Madhumuni Ya Mazoezi
Jifunze Kuimba: Tatizo La Pumzi na Jinsi Ya Kulitatua
Kujifunza Kuimba Kwa Kupiga Makelele Hakusaidii Lolote
Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com Vol. 1: Madhumuni ya Lip Rolls
Je, Utajuaje Kama Unakosea Katika Mazoezi Ya Sauti ?
Jiunge na Darasa Moja La Kukusaidia Ukae Sawa na Mazoezi Ya Sauti

Nawatakia mafanikio mema!JOETT - Mwalimu wa Sauti
No comments:

Post a Comment