Thursday, April 30, 2020

#Vokoz Online: Jifunze Kuimba na Joett kwa Njia ya Simu


VOKOZ, UTANGULIZI

Kwa wale ambao hawakufanikiwa kuingia kwenye program ya Vokoz ya Lady Jaydee na Joett, msife moyo. Kwani kuna uwezekano pia, wakujifunza kupitia program ambazo tayari nimeshaziandaa online, ni kiasi cha wewe ku-download MP3 na Makala zangu tu. (Tafadhali bofya hyperlinked text ili kufungua blog post husika).


Sauti ya Japhy Ross Kabla na 
Baada ya Mazoezi ya Sauti kwa Joett

Jifunze Kuimba na Joett kwa Njia ya Simu

Huu ni utaratibu wa kujifunza kwa njia ya simu kwa kutumia voice call WhatsApp na Skype. Tafadhali fuata maelekezo yafuatayo.

STEP 1

Imba alafu unitumia sauti nikupe tathmini.

STEP 2

Feedback: nitakupa kuhusu sauti yako

STEP 3

Jinsi ambavo naweza kukusaidia, chukua madarasa 4 ya Dakika 30 kila darasa, kwa njia ya simu (voice call) WhatsApp au Skype (Skype ID yangu: tojona).

Baada ya darasa 2 utaalikwa ujiunge na Joett Voice Studio WhatsApp Group.

Bei kwa darasa moja la dakika 30 ni TZS 21,000.

BONUS PACKAGE

Ukinunua Madarasa Manne kwa Mpigo utapata madarasa ya dakika 45 badala ya dakika 30. Ambayo ni sawa sawa na jumla ya dakika 60 za ziada.

Utakapo kua tayari kuanza madarasa malipo utafanya kwa Admin wangu Hance Mligo kupitia M-Pesa +255 768 274 654 na kama wewe upo nje ya Africa Mashariki unaweza kutumia WorldRemit.

Maandalizi Maalum

VOICE CALL

Tunatumia voice call. Sio video call.

SPIKA (External Speakers)

Hakikisha simu yako imeunganishwa na spika (external speakers) kama speaker ya bluetooth au home theater, ili uweze kusikia sauti ya kinanda kama ilivyo.

MAZOEZI NDANI YA CHUMBA 

Hakikisha unafanya mazoezi haya ndani ya chumba. Sio nje.
Nahitaji information zako, yaani Jina Kamili, Umri, Namba ya Simu, anuani yako ya Barua Pepe. Hii chart nitaijaza mimi kwa kalamu hapa studio na itakua ndio faili yako.

Vocal Coaching                                                 Sessions Log

Name_______________________      Age______             Mobile #

Email_______________________

Date
Start Time
Vocal Exercise
Session Duration
Signature




















































TAHADHARI: COVID-19

Ningependa pia kuwataarifuni ya kwamba kwa kipindi hiki cha kusambaa kwa ugonjwa wa Corona, madarasa yote nitakua nafanya kwa njia ya simu mpaka hapo hali itakapo badilika. Kizuri ni kwamba ninao uzoefu mkubwa wa kufundisha kwa njia ya simu.

Karibuni,



Joett Mwalimu wa Sauti
Blog: JoettMusic.com | WhatsApp +255 787 364 045



No comments:

Post a Comment