Friday, December 25, 2020

Je, wewe ni msanii chipukizi? Basi hii online workshop ya waimbaji sasa ipo Tumblr kwa ajili yako, BURE kabisa


Yeyote ambae angependa kupata mazoezi ya sauti ili ajifunze kuimba, kama nyongeza ya mazoezi yangu ya Joett Vocal Drills Vol. 1-4,  sasa unaweza ku-stream mazoezi ya ziada kwenye blog langu la Tumblr kama ifuatavyo. (Bofya link hapo chini).

Joett Workshops Zoezi La Pumzi

Joett Workshops Exercise #1

Joett Workshops Exercise #2

Hakikisha pia, kwamba unafuata muongozo wa mazoezi yangu ya Vol. 1-4 kama nilivyo elekeza kwa kina kwenye makala yangu, Msaada wa Mafunzo ya Sauti na JOETT WhatsApp na Telegram.

Kujiunga na Group langu la WhatsApp kwa lugha ya Kiswahili bofya hapa! (Ukikuta Group limejaa, jishikize kwenye group langu la Gonga Jiwe, hapa!).

***

JOETT - Got U On My Mind (Acoustic)

No comments:

Post a Comment