Kabla ya kuanza, hakikisha una download na kufanya zoezi langu la pumzi Mkito.com
Bila ya kuzungumza maneno mengi, nataka niwaachie toleo hili la kwanza (Vol. 1) msikilize mifano nakuendelea na mchanganyiko wa mazoezi ya sauti kwa takriban dakika 8. Mifano ipo. Nikusikiliza tu na kufuata hiyo mifano, na la msingi kabisa nikuachia sauti ifuate mkondo wake. Usilazimishe sauti. Iachie ifuate kinanda na maelekezo mwanana.
Muongozo wa Mazoezi
- Download mazoezi Mkito.com
- Weka kwenye CD au Flash Disk
- Tumia chombo cha muziki cha kupigia CD/Flash au kama unatumia simu yako ya mkononi, hakikisha unaunganisha na speaker kupata sauti kubwa kulingana na sauti yako ukiimba.
- Fanya mazoezi ndani ya chumba na sio kwenye maeneo ya wazi, wala sio kwa kutumia simu yako ya mkononi na headset zake masikioni.
- Ku-Download PDF yenye maelekezo ya Volume 1, 2, 3 & 4 Bofya hapa!
- Kusoma Press Release bofya hapa!
Ukiwa na maswali, jiskie huru kuniuliza, au soma nakala kadhaa nilizo andika:
Jifunze Kuimba: Umuhimu wa Kuelewa Madhumuni Ya Mazoezi
Jifunze Kuimba: Tatizo La Pumzi na Jinsi Ya Kulitatua
Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com Vol. 1: Madhumuni ya Lip Rolls
Wewe ndie chombo halisi, jifunze kuimba kama pro!
JOETT
Vocal Coach
Madarasa ya Studio
No comments:
Post a Comment