Wednesday, July 17, 2013

Ramadhan Akutana na Vocal Coach Joett [Jifunze Kuimba Video]


Ramadhan ni kijana ambae anadhamira ya kujifunza kuimba na hatimae kuingia katika gemu hili la mziki. Anacho kipaji, na muonekano wake na swaga lake limekaa kisanii. Natumaini mtakubaliana nami mkicheki video clip Ramadhan Akutana na Vocal Coach Joett (Part 1)

Ningependa kusistiza kwa watazamaji wa video hii, kwamba jinsi ya kupumua vema na jinsi ya kutumia CD yangu ya Jifunze Kuimba na Joett zinapatikana kwenye blog langu na YouTube rasmi. Tafadhali hakikisha unaangalia mifano ninayo toa humo.

Kama mnamaswali yeyote, tafadhali wasiliana nami. Namba zangu zipo hapo juu kwenye bango la blog hili. Na pia, ninatoa ushauri kupitia SKYPE ambapo ID yangu ni tojona.

JIFUNZE KUIMBA NA JOETT VOCAL TRAINING CD PACKAGE

Package inakupa CD singo 3 za Joett BURE (Color Me Beautiful, I Could Never Live (Without Your Love), Heaven Said) pamoja na instrumeto zake. Kama upo Dar es salaam, unaweza kuja nikupe ushauri BURE na kukuonyesha jinsi ya kuitumia CD yangu yakujifundishia vyema. Na pia unaweza kununua Jifunze Kuimba na Joett kwenye intaneti. Kama upo Dar unaweza kuja nunua na kuchukua kwenye studio yangu Oysterbay. Bei yake ni TShs 35,000/=.

Wewe ndio chombo halisi, jifunze kuimba kama pro!JOETT
Vocal Coach & Author
Private Singing Lessons
Letters from a Vocal Coach
Learn to Sing with Joett Vocal Training CD
BUY Learn to Sing with Joett CD Online from TripleClicks

Download Joett tracks from iTunes, Amazon MP3, TuneCore.
Buy Joett CDs from A Novel Idea Bookstores Dar, Zanzibar, Arusha.
Nationwide CD distribution via Joett Music (Airtel Money, TIGO Money, M-Pesa).
Follow me on Twitter
Become a fan on Facebook 
Follow Joett On Facebook

No comments:

Post a Comment