Wednesday, July 3, 2013

Jifunze Kuimba na Joett: Mawaidha, Ushauri na Zoezi (Video)
Nilikutana na Musa, mshiriki wa Epic Bongo Star Search 2012, kwa mahojiano na assessment ya sauti yake, na kumpa CD yangu mpya ya Jifunze Kuimba na Joett. Angalia angalia mahojiano hayo kwenye YouTube Video hapa!

Na kwenye video ifuatayo, ninatoa Mawaidha, Ushauri na Zoezi la Mteremko (Descending Scales). Kwa mifano na mazoezi kabambe ya kuimba, angalia YouTube Video hapa!

JIFUNZE KUIMBA NA JOETT VOCAL TRAINING CD PACKAGE

Package inakupa CD singo 3 za Joett BURE (Color Me Beautiful, I Could Never Live (Without Your Love), Heaven Said) pamoja na instrumeto zake. Kama upo Dar es salaam, unaweza kuja nikupe ushauri BURE na kukuonyesha jinsi ya kuitumia CD yangu yakujifundishia vyema. Na pia unaweza kununua Jifunze Kuimba na Joett kwenye intaneti. Kama upo Dar unaweza kuja nunua na kuchukua kwenye studio yangu Oysterbay. Bei yake ni TShs 35,000/=.

Wewe ndio chombo halisi, jifunze kuimba kama pro!


JOETT
Vocal Coach & Author
Private Singing Lessons
Letters from a Vocal Coach
Learn to Sing with Joett Vocal Training CD
BUY Learn to Sing with Joett CD Online from TripleClicks

Download Joett tracks from iTunes, Amazon MP3, TuneCore.
Buy Joett CDs from A Novel Idea Bookstores Dar, Zanzibar, Arusha.
Nationwide CD distribution via Joett Music (Airtel Money, TIGO Money, M-Pesa).
Follow me on Twitter
Become a fan on Facebook 
Follow Joett On Facebook

No comments:

Post a Comment