Sunday, July 21, 2013

Epic Bongo Star Search 2012 Norman Severino Akutana na Joett

Mshirki wa Epic Bongo Star Search 2012, Norman Severino, alikutana na mimi kujadili swala la kufanya mafunzo ya kuimba ili kujianda kushiriki Tusker Project Fame 2013. Nilimfundisha Norman kwa kipindi kifupi mwaka 2009 na sasa amerejea. Nafurahi kumkarubisha tena Joett Voice Studio na nitawaonyesha vitakavyo endelea kwa kupitia kwenye blog langu na YouTube. Angalia mchakato huu katika documentary video clips za Norman Severino kwenye link zifuatazo.

Epic Bongo Star Search 2012 Norman Severino Akutana na Joett
Epic Bongo Star Search 2012 Norman Severino Vocal Training kwa Joett

JIFUNZE KUIMBA NA JOETT VOCAL TRAINING CD PACKAGE


Package inakupa CD singo 3 za Joett BURE (Color Me Beautiful, I Could Never Live (Without Your Love), Heaven Said) pamoja na instrumeto zake. Kama upo Dar es salaam, unaweza kuja nikupe ushauri BURE na kukuonyesha jinsi ya kuitumia CD yangu yakujifundishia vyema. Na pia unaweza kununua Jifunze Kuimba na Joett kwenye intaneti. Kama upo Dar unaweza kuja nunua na kuchukua kwenye studio yangu Oysterbay. Bei yake ni TShs 35,000/=.

Wewe ndio chombo halisi, jifunze kuimba kama pro!

JOETT
Vocal Coach & Author
Private Singing Lessons
Letters from a Vocal Coach
Learn to Sing with Joett Vocal Training CD
BUY Learn to Sing with Joett CD Online from TripleClicks

Download Joett tracks from iTunes, Amazon MP3, TuneCore.
Buy Joett CDs from A Novel Idea Bookstores Dar, Zanzibar, Arusha.
Nationwide CD distribution via Joett Music (Airtel Money, TIGO Money, M-Pesa).
Follow me on Twitter
Become a fan on Facebook 
Follow Joett On Facebook

No comments:

Post a Comment