Monday, February 13, 2017

Learn to Sing with Joett On Mkito.com Vol. 7 | Jifunze Kuimba Vol. 7

In my final installment on Mkito.com, released February 14th, I give you Volume 7. With this training module you have the entire song Color Me Beautiful plus the backing track to work with. If you have been training through the entire series 1 to 4 and 5 to 6, you should be able to do this with relative ease and good placement. If you’re not feeling up to scratch yet, then keep working on Vol. 1 to 4, and not forgetting the Breathing Exercise before you begin your training sessions.

Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com Volume 7 inaachiwa tarehe 14 Februari, na ndio inakamilisha mazoezi haya. Kama umefanya mazoezi ya Vol. 1 hadi 4 kwa kipindi cha kutosha, sauti yako haki yake iwe imekaa sawa kukuwezesha kufanya Vol. 5 & 6 alafu hatimae Vol. 7 ambayo ni wimbo mzima wa Color Me Beautiful, pamoja na track isiokua na mashairi ili uimbe mwenyewe. Ukihisi sauti bado haija kaa sawa, endelea na mazoezi Vol. 1 – 4 mpaka sauti ikae vizuri. Kumbuka, kabla hujaanza mazoezi, hakikisha unafanya Zoezi La Pumzi.

Joett - Color Me Beautiful [Lyrics]

You make the world a better place
Your love is divine, straight down the line
Take me away from what I know
Onto a better place
There in your arms
Your love is divine, straight down the line

Cos you know that I’m addicted to love
Cos you know that I’m addicted to love
So color me beautiful
Color me blind

The color of love
Is roses and wine
And yours in particular, is so divine
I know your love will never end
It’s gonna be there till the end
You make the world a better place
Your love is divine, straight down the line

Cos you know that I’m addicted to love
Cos you know that I’m addicted to love
So color me beautiful
Color me blind

Cos you know that I’m addicted to love
[Just like the earth needs the rain]
Cos you know that I’m addicted to love
[I’ll never stop needing you]
So color me beautiful
[Yes you’re invisible, One of a kind]
Color me blind
[But sure I can feel your tender touch]

Muongozo wa Mazoezi

• Download Mazoezi Mkito.com
• Weka kwenye CD au Flash Disk
• Tumia chombo cha muziki cha kupigia CD/Flash au kama unatumia simu yako ya mkononi, hakikisha unaunganisha na speaker kupata sauti kubwa kulingana na sauti yako ukiimba.
• Fanya mazoezi ndani ya chumba na sio kwenye maeneo ya wazi, wala sio kwa kutumia simu yako ya mkononi na headset zake masikioni.

Na vile vile unaweza kupata maelekezo zaidi kwa kubofya nakala kadhaa nilizo andika hapa chini. Ukiwa na maswali, tafadhali jisikie huru kuniuliza. Ni muhimu sana kuelewa, na sio kufanya vitu kwa hisia bila muongozo panapo stahili. Tafuta ushauri!

Jifunze Kuimba: Umuhimu wa Kuelewa Madhumuni Ya Mazoezi
Jifunze Kuimba: Tatizo La Pumzi na Jinsi Ya Kulitatua
Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com Vol. 1: Madhumuni ya Lip Rolls
Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com: Vocal Drills Volume 2
Volume 1, 2 & 3 Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com
Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com: Vocal Drills Volume 4
Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com Vol. 5

Wewe ndie chombo halisi, jifunze kuimba kama pro! Nawatakia mafanikio mema!


JOETT
Vocal Coach
YouTube Channel
Madarasa ya Studio

No comments:

Post a Comment