Thursday, October 9, 2014

Bongo Flava Hip Hop Artist G Fullah Funeral in Pictures
G Fullah alifariki siku ya Jumapili tarehe 5 Octoba 2014 hospitali ya Muhimbili, Dar es salaam, akazikwa siku ya Jumatatu tarehe 6 Octoba makaburi ya Kinondoni. Marehemu alikua akisumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu. Alifariki siku nane kabla singo yake ya kwanza "I'm Gonna Live Forever" kutoka, ambayo ameshirikishwa kwenye singo ya Joett pamoja na kundi la vijana (boyband) wa kitanzania Level One. Jina lake kamili, Furaha Mwaigomole, alifariki akiwa na umri wa miaka 28. Ameacha mtoto mwenye umri wa miaka 11. Mungu ailaze roho yake pahali pema peponi. Amen.

G Fullah died on Sunday October 5th 2014 at Muhimbili Hospital in Dar es salaam, and was buried at Kinondoni Cemetery Monday October 6th. He suffered from anemia. He died eight days before the release of his debut single "I'm Gonna Live Forever" October 13th, in which he appears as featured artist on Joett's single alongside Tanzanian boyband Level One. His real name is Furaha Mwaigomole, and he was 28 years of age. He is survived by an 11-year-old son. RIP G Fullah.


Joett Music Publishing via ASCAP, USA.
Viber & WhatsApp on +255 787 364 045


No comments:

Post a Comment