Saturday, May 23, 2020

Video Yenye Mifano ya Mazoezi ya Sauti - Joett Vocal Drills Vol. 1-4!


Kuhusu Video Demo: Joett Vocal Drills Vol. 1-4  


Mifano ya mazoezi ya Joett Vocal Drills Vol. 1-4 pamoja na aina tofauti za kutumia piano scales hizo hizo kufanya mazoezi ya sauti, utayakuta kwenye video (bofya hapa). Tafadhali fuata miongozo. Sio mazoezi yote yanaingiliana. Usifanye ambacho hakijatolewa mifano. Mazoezi yalio kamilika mtayakuta Mkito kwa mfumo wa MP3. Kama hauna account ya Mkito basi login kwa kutumia Google account yako, na tafadhali angalia video ya maelekezo ilioandaliwa na Mkito hapa chini. 

Kupata MP3 za Joett Vocal Drills Vol. 1-7 kwa video ya mifano (boya hapa) pamoja na makala zangu nyingi (bofya hapa). Na kwa maelekezo ya jinsi ya kujiunga na madarasa yangu ya sauti kwa njia ya simu endapo unajiandaa kurekodi ngoma studio (bofya hapa).JOETT - Mwalimu wa SautiNo comments:

Post a Comment