Tuesday, September 27, 2011

Bandana Za Joett Zatapakaa TIKISA

Juma lililo pita mashabiki wangu waliniomba awali niwapatia mabandana ya Joett... nikaona basi vizuri, wacha niwapatia vijana nawao wajimwage katika shoot ya TIKISA na brand yangu. Hii picha tulipigwa mara baaba ya shoot ya show ya wiki ilio pita. Washikaji wametoka poa sana, ama mnasemaje?

Kila niendako mitaani, mashabiki wananiomba t-shirt na bandana nao wavae. Kwahivyo basi, nimeamua nitaanza kutengeneza t-shirt na bandana ambazo zitapatikana madukani kwa bei poa tu. Zoezi hilo litakapo kamilika, nitawataarifu nyote mashabik wangu. Ahsanteni kwa kunifagilia kwa kasi sana. Tuko pamoja!

Joett
Vocal Coach | Singer | Dancer Choreographer
Listen to Joett's New Single on Jango Internet Radio
Follow Joett On Twitter
Joett on Facebook
Email: info[at]joettmusic[dot]com

1 comment:

  1. Hahaha...mann i miss lessons with u...na mi nataka t-shirt aise!!..P.S its Elisha

    ReplyDelete