Sunday, November 13, 2011

TIKISA Fainali Za Jana Usiku: Matokeo Na Ushindi

TIKISA fainali za jana usiku: Hassan na Hawa waibuka washindi kwa kura za watanzania. Majaji hatukupiga kura jana. Nafasi ya pili ilikwenda kwa Ashraf na Mwajuma na watutu walikua Daniel na Helen. Hongera kwa Powerhouse Productions kwa kukutuletea TIKISA; choreographers Sammy Cool na Bud Spencer kwa kazi nzuri sana. Muijiza haswa; Kwa washiriki kwakuleta burudani kabambe; kwa majaiji wenzangu kwa kazi nzuri mnoo; na kwa mashabiki wote Tanzania kwa kuangalia TIKISA ITV na kufagilia kipindi. Tunawashukuruni nyote kwa dhati. Inshallah, mungu akipenda tutaonana tena mwakani.

JOETT

No comments:

Post a Comment