Tuesday, May 30, 2017

Japhy Ross X Anthy Nane "Angejua" - Download Toleo Mpya Mkito


Japhy Ross mwenye umri wa miaka 24 na Anthy Nane miaka 23, ni wakazi wa Mwanza. Kama vijana wengine wengi hapa Tanzania, wanapenda sanaa ya mziki na wana malengo ya kufanya mziki kama ajira.

Katika harakati zao za kutaka kujiendeleza, waliamua kujiunga na kufanya rekodi yao ya kwanza pamoja, baada ya producer Chuma Nice Flavour kuwapa ofa ya kurekodi wimbo mmoja. Kutoka Pango Records, tunawaletea wasanii chipukizi Japhy Ross x Anthy Nane na wimbo Angejua. Ku-Download Angejua kutoka Mkito.com, Bofya hapa!


Kuangalia video ya Msanii Japhy Ross "Angejua" 
Kabla na Baada ya Mazoezi ya Sauti kwa Joett, Bofya hapa!


Ku-Download Joett Vocal Drills Vol. 1-7 Bofya hapa!No comments:

Post a Comment