Tuesday, November 20, 2012

Joett Ajiandaa Kuachia Trak Ya Nu Disco, Color Me Beautiful

PRESS RELEASE -- Joett, mwalimu wa kuimba (yaani vocal coach) na jaji wa kipindi cha televisheni cha TIKISA kinachorushwa ITV, aachia singo yake mpya Color Me Beautiful tarehe 10 Desemba 2012. Trak hiyo iko katika miondoko ya nu disco ambayo kiini chake ni disco la mwishoni mwa miaka ya 70 na mawanzoni mwa miaka ya 80, lakini ikiwa na vionjo vya muziki wa millennia mpya. Kibao cha ziada kilicho ambatana na CD singo hiyo ni Girls Girls Girls katika miondoko ya bongo disco kwa lugha ya Kiswahili na kiingereza, kiliandikwa na msanii huyo mahususi kwa ajili ya kikundi cha wavulana (yaani boy band) ambacho anaterajia kukiunda mwaka 2013.JOETT
Radio Presenter, Recording Artist & Vocal Coach

Download Joett tracks from iTunes, Amazon MP3, TuneCore.
Buy Joett CDs from A Novel Idea Bookstores Dar, Zanzibar, Arusha.
Nationwide CD distribution via Business Times, Majira and SPOTIstarehe.
Follow me on Twitter
Become a fan on Facebook 
Follow Joett On Facebook
Follow Boogie TZ On Facebook

No comments:

Post a Comment