Wednesday, July 9, 2014

Mrembo wa Kiafrika, Bongo Flava Trak Mpya toka Kwa 3G

Vijana wakitanzania watatu wajulikanao kama 3G, wakombioni kuachia singo yao ya kwanza, Mrembo wa Kiafrika. Vijana hawa, ambao wali rekodi singo hiyo mwaka jana ni G Fullah, Frankie G na Oz Bitala. Wimbo huo, ambao pamoja na harmony na kuchana, unamandahari ya zilipendwa kama za Miriam Makeba na Abeti Masikini. Wimbo unaladha tofauti kidogo, na ni mziki ulioyotulia ukiambatana na acoustic guitar pekee.

Tafadhali sikiliza track hii, alafu kama umeikubali, tafadhali share kwenye Facebook, Twitter, Instagram, blogs na kadhalika. Na-tungependa maoni yenu. Download free MP3 hapa! 

Joett Music - 3G Management

No comments:

Post a Comment