VOKOZ,
UTANGULIZI
Kwa wale ambao hawakufanikiwa kuingia kwenye program ya Vokoz ya
Lady Jaydee na Joett, msife moyo. Kwani kuna uwezekano pia, wakujifunza kupitia
program ambazo tayari nimeshaziandaa online, ni kiasi cha wewe ku-download MP3 na
Makala
zangu tu. (Tafadhali bofya hyperlinked text ili kufungua blog post
husika).
Sauti ya Japhy Ross Kabla na
Baada ya Mazoezi ya Sauti kwa Joett
Kabla ya Mazoezi ya Sauti
Baada ya Masaa 10 ya Mazoezi ya Sauti
Baada ya Miezi 10 ya Mazoezi ya Sauti
Jifunze Kuimba na Joett kwa Njia ya Simu
Huu ni utaratibu wa kujifunza kwa njia ya simu kwa
kutumia voice/video call WhatsApp na Skype. Tafadhali fuata maelekezo yafuatayo.
STEP
1
Imba alafu unitumia sauti nikupe tathmini.
STEP
2
Feedback: nitakupa kuhusu sauti yako
STEP
3
Jinsi ambavo naweza kukusaidia, chukua madarasa 4 ya
Dakika 30 kila darasa, kwa njia ya simu (voice/video call) WhatsApp au Skype (Skype
ID yangu: tojona).
Bei kwa darasa moja la dakika 30 ni TZS 21,000.
BONUS PACKAGE
Ukinunua Madarasa Manne kwa Mpigo
utapata madarasa ya dakika 45 badala ya dakika 30. Ambayo ni sawa sawa na jumla
ya dakika 60 za ziada.
Utakapo kua tayari kuanza madarasa malipo utafanya kwa
Admin wangu Hance Mligo kupitia M-Pesa +255 768 274 654 na kama wewe
upo nje ya Africa Mashariki unaweza kutumia WorldRemit.
Maandalizi
Maalum
VOICE/VIDEO CALL
Tunatumia voice/video call.
SPIKA (External Speakers)
Hakikisha simu yako imeunganishwa na spika (external
speakers) kama speaker ya bluetooth au home theater, ili uweze kusikia sauti ya
kinanda kama ilivyo.
VIFAA NYONGEZA
Ukiwa na device nyingine moja, yaani smartphone, tablet au computer, nitaweza kukurushia mazoezi ambayo ntatengeneza na kurusha ili uweze ku-play kwenye speaker huku tupo kwenye simu nikisikiliza ukifanya mazoezi.
MAZOEZI NDANI YA CHUMBA
Hakikisha unafanya mazoezi haya ndani ya chumba. Sio
nje.
Nahitaji
information zako, yaani Jina Kamili, Umri, Namba ya Simu,
anuani yako ya Barua Pepe. Hii chart nitaijaza mimi kwa kalamu hapa studio na
itakua ndio faili yako.
Vocal Coaching Sessions
Log
Name_______________________ Age______ Mobile
#
Email_______________________
Date
|
Start Time
|
Vocal Exercise
|
Session Duration
|
Signature
|
TAHADHARI:
COVID-19
Ningependa pia kuwataarifuni ya kwamba kwa kipindi hiki
cha kusambaa kwa ugonjwa wa Corona, madarasa yote nitakua nafanya kwa njia ya
simu mpaka hapo hali itakapo badilika. Kizuri ni kwamba ninao uzoefu mkubwa wa
kufundisha kwa njia ya simu.
Joett Voice Studio WhatsApp Group (BURE)
STEP 1 - Tuma vocal kwa voice note nikupe tathmini. WhatsApp +255 787 364 045
STEP 2 - Ntakupa zoezi fupi la sauti ufanye, jirekodi nitumie.
STEP 3 - Download mazoezi kutoka Mkito
STEP 4 - Angalia video (bofya hapa) ya mifano ya hayo mazoezi (Vol. 1-4) na njia tofauti za kuyafanya ili kuimarisha sauti; na usome makala yangu (bofya hapa).
STEP 5 - Join link ya WhatsApp group (bofya hapa).
STEP 6 - Jiandae kufanya darasa fupi (BURE) la uhakiki wa mazoezi kwa njia ya simu. Dakika 10 tu. (Maekelezo utapata baadae ndani ya group).
Karibuni,
Joett – Mwalimu wa Sauti