Kwanza kabisa, tafadhali imba, jirekodi, alafu nitumie voice note WhatsApp ili niweze kufanya tathmini ya sauti na uimbaji wako. Baada ya hapo, soma yafuatayo kwenye hii makala na uhakikishe unabofya link zilizomo humu ndani kwa maelezo husika ya ziada.
Sinabudi kuwajulisha yakwamba makala zangu zina mafunzo ya kina kuhusu uimbaji bora. Muhimu kusoma ili usipitwe na mambo muhimu.
Kama ungependa ku-download mazoezi yangu ya sauti (Joett Vocal Drills Vol 1-7) na imekushinda kupitia Mkito, basi kupitia blog langu la Tumblr unaweza ku-stream Zoezi la Pumzi na Joett Vocal Drills Vol. 1, Joett Vocal Drills Vol. 2, Joett Vocal Drills Vol. 3, Joett Vocal Drills Vol. 4.
Mifano ya Joett Vocal Drills Vol. 1-4
Nimetengeneza video darasani kwangu (bofya hapa) ili kuwaonyesha jinsi ya kufanya mazoezi yangu ya Joett Vocal Drills Vol. 1-4, pamoja na njia zingine za kutumia scales hizo hizo kufanya mazoezi tofauti (yaani alternative vocal excercises).Usifanye zoezi kwa njia nyingine tofauti na nilivoonyesha hapa. Tafadhali tazama video (bofya hapa) na ufuatilie mifano hii kwa umakini sana. Utagundua kwamba haitumiki nguvu kufanya haya mazoezi.
- Kwa maelekezo zaidi kuhusu mazoezi ya sauti bofya hapa!
- Kwa ratiba ya mazoezi bofya hapa!
- Kwa mazoezi ya ziada bofya hapa!
- Uimbaji Bora: Maswali na Majibu bofya hapa!
- Kujiunga na Group la WhatsApp bofya hapa!
- Kujiunga na Group la Facebook bofya hapa!
- Kwa madarasa ya ana kwa ana bofya hapa!
- Kwa maelekezo ya ku-login Mkito kwa kutumia akaunti yako ya Google angalia video hapa chini!
JUMP START PROGRAM
(Dakika 30 Tu kwa Njia ya Simu)
Mazoezi ya Sauti na Joett kwa njia ya simu ya WhatsApp na Skype kwa Dakika 30 tu ni ratiba mpya ambayo hutolewa kwa njia ya simu (voice call) kupitia app za WhatsApp na Skype. Skype ni bora zaidi kwa hili zoezi, itakua vyema uki-download app kutoka Play Store au App Store.
"Zingatia Haya Maandalizi Maalum"
VOICE CALL
Tunatumia voice call. Sio video call.
SPIKA (External Speakers)
Hakikisha simu yako imeunganishwa na spika (external speakers) kama speaker ya bluetooth au home theater, ili uweze kusikia sauti ya kinanda kama ilivyo.
MAZOEZI NDANI YA CHUMBA
Hakikisha unafanya mazoezi haya ndani ya chumba. Sio nje.
Joett Voice Studio WhatsApp Group
Kufanya booking ya madarasa haya ya njia ya simu, tafadhali bofya hapa!
WhatsApp Group zipo mbili: Joett Voice Studio na Gonga Jiwe for Joett.
================================
Huduma ya Ziada (Bure)
Ukihitaji kuhakiki kama unayafanya mazoezi kifasaha, jirekodi ukifanya haya mazoezi alafu tuma mazoezi yako kwangu kwa njia ya WhatsApp. Mifano ya mazoezi haya utayakuta kwenye Facebook page yangu hapa!
Video zifuatazo ni safari ya Japhy Ross katika kujifunza kuimba na JOETT
Uimbaji wa Japhy Ross kabla ya Mazoezi ya Sauti
Uimbaji wa Japhy Ross Baada ya Masaa 10 ya Mazoezi
Uimbaji wa Japhy Ross baada ya Miezi 10 ya Mazoezi
Msaada wa Mafunzo ya Sauti na JOETT WhatsApp na Telegram
Je, Binadamu Anaimbia Tumboni? Jua Ule Ukweli Wenyewe Halisi
Jifunze Kuimba na Joett Darasani na Online: Muongozo na Utaratibu
Jifunze Kuimba: Umuhimu wa Kuelewa Madhumuni Ya Mazoezi
Jifunze Kuimba: Tatizo La Pumzi na Jinsi Ya Kulitatua
Kujifunza Kuimba Kwa Kupiga Makelele Hakusaidii Lolote
Jifunze Kuimba na Joett Mkito.com Vol. 1: Madhumuni ya Lip Rolls
Je, Utajuaje Kama Unakosea Katika Mazoezi Ya Sauti ?
Jiunge na Darasa Moja La Kukusaidia Ukae Sawa na Mazoezi Ya Sauti
Nawatakia mafanikio mema!
JOETT - Mwalimu wa Sauti
No comments:
Post a Comment